Geeva – Train To Boom Lyrics
Taka usitake napeleka far Mpaka abudhabi Hii kitu Napiga mashuti, natikisa paa Wala usijali Na kama ni mtoto mkali Subiri masaa Utacheer na leader chumbani Shuguli ni pevu, usije na njaa Mpaka asubuhi hatulali Binti mdogo lakini huogopi Tena ni mke wa mtu Nafunga milango lakini hukomi Tabia mbaya Utakuja niponza nishikwe ugoni Sitaki wahala Tulia nyumbani ucheze na toy Punguza mazara Unapita mipakani kama […]